Afrika Kaskazini ambayo wengi wao ni Waislamu, wakati mmoja ilikuwa nchi ya dini ya Kikristo, ikitoa mapapa wa Kikatoliki ambao waliacha alama zao kwenye Kanisa hadi leo. Upapa wao ulikuwa katika enzi ...