Matokeo yaliyotangazwa leo yanaonyesha kuwa kwa ujumla asilimia 87.79% ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu ambapo ni sawa na ongezeko la ufaulu la asilimia 0.49% ukilinganisha na asilimia ...
Shirika lisilo la kiserikali la haki elimu nchini Tanzania limesema kuwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne sio ya kujivunia kutokana na zaidi ya nusu ya watahiniwa kupata ufaulu wa daraja la nne na ...
Serikali ya Tanzania imetangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mara ya pili baada ya kuyafuta matokeo ya awali ambapo sasa asilimia ya waliofaulu imepanda kuwa 43.08 ikilinganishwa na ya awali ambayo ...