Katika siku ya kumi na nne ya maandamano ya kitaifa nchini Iran, jeshi la Jamhuri ya Kiislamu limetoa taarifa kali likionya kuhusu "njama" ya Israel na "makundi ya kigaidi" ya "kuvuruga usalama wa ...
Jeshi nchini humo limekanusha ripoti za chama cha Bobi Wine kuwa kiongozi wao alichukuliwa nyumbani kwake kwa ndege ya kijeshi na kupelekwa kusikojulikana. Chama cha Wine National Unity Platform (NUP) ...
Usalama barabarani ni zaidi ya sheria, ni kinga ya afya na maisha. Kuanzia kufunga mkanda hadi kupunguza mwendokasi, hatua ndogo barabarani zinaweza kuzuia ajali, ulemavu na vifo vinavyoweza kuzuilika ...