Wanandoa wawili nchini India wana furaha baada ya mahakama kuamuru hospitali kuwakabidhi sampuli ya mbegu za kiume zilizogandishwa za mtoto wao aliyeaga dunia, ili wapate mjukuu kupitia mwanamke ...
Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Mtoto imetoa wito leo Jumatano kwa watoto kulindwa wakati wa vita Mashariki ya Kati, ...
Kisa cha kipekee kimejitokeza huko Bettiah, Bihar, ambapo mtoto wa mwaka mmoja anadaiwa kumng'ata nyoka kwa meno hadi kumuua . Familia ya mtoto huyo inadai kuwa ni nyoka huyo ni wa aina ya cobra ...
Shirika la Afya Duniani WHO limesema zaidi ya watu milioni 94 wanaugua mtoto wa jicho lakini nusu yao hawana huduma ya upasuaji unaohitajika ili kuurekebisha. Mtoto wa jicho ni hali ya lenzi ya jicho ...
Mtoto wa kiume wa mwanzilishi wa Boko Haram alikamatwa "miezi kadhaa iliyopita" nchini Chad, kulingana na taarifa zilizokusanywa na shirika la habari la AFP. Anaaminika kuwa mtoto wa mwisho wa mhubiri ...
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Machi 2, 2026, amekagua Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Kilutheri ya Haydom, iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa jengo hilo umegharimu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results