Tume ya Uchaguzi, NEC, kupitia mkurugenzi wake wa uchaguzi, Dr Wilson Mahera, imetangaza kwamba itaanza kupokea matokeo ya uchaguzi kutoka maeneo mbalimbali leo usiku. Wapiga kura zaidi ya milioni 29 ...