Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameibuka mshindi wa tuzo ya Afrika katika masuala ya uchumi. Makamo mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya ukombozi Afrika, Mwebesa Rwebugia ameieleza BBC kwamba rais ...
Maonyesho ya vipeperushi vya matangazo ya propaganda za Cuba huko London yanaonyesha msaada ambao Fidel Castro alitoa kwa harakati za ukombozi wa Afrika wakati wa vita baridi. Kazi za sanaa ...
Vyama sita vya ukombozi vyaa Kusini mwa Afrika vinahudhuria Mkutano wa Vyama vya Ukombozi nchini Afrika Kusini. Mkutano huo wa mwaka unajadili njia za kukabiliana na mgogoro wa kiuchumi unaolikabili ...
Dedan Kimathi, kiongozi wa kundi la Mau Mau lilipombana kwa silaha dhidi ya ukoloni wa Uingereza, na ambaye tawala zilizopita nchini humo zilikataa kumpa heshima yake ...
Makinika na Lilian Liundi, Mkurundenzi wa TGNP Mtandao nchini Tanzania, shirika lililo mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa wa kijinsia, akieleza juu ya umuhimu wa ukombozi wa mwanamke ...
Wasikilizaji wanajadili kwa namna gani wanaharakati wanalaumiwa kwa kufanya harakati za ukombozi wa mwanamke na kugeuka kuwa unyanyasaji kwa wanaume kufuatia lawama kutolewa na baadhi ya wanaume ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results