Karibu kila mtu ana dhana fulani kuhusu muonekano wa Yesu Kristo. Ndiye mtu aliyechorwa zaidi katika sanaa ya Magharibi. Picha zake hutambuliwa kwa urahisi, ambapo huoneshwa akiwa na nywele ndefu na ...
Hukumu ya kifo katika Roma ya kale, kama kanuni ya jumla, pia ni jambo ambalo linatiliwa shaka sana na kumbukumbu ya Yesu Kristo, karibu miaka 2,000 baada ya kuuawa kwake. "Kati ya Warumi kulikuwa na ...