Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu, mechi ya kisasi Yanga Vs Silver Strikers, UKICHELEWA usilaumu mtu Jumamosi, Oktoba 25, 2025 ...
SAA chache baada ya Rais wa Klabu ya Yanga kuthibitisha kuwa usiku huu wanatangaza kocha mkuu wa klabu hiyo, Mwanaspoti limenasa jina lake. KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola na nahodha wa timu ...
Kenya Police FC, ina imani kwamba Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) litatoa uamuzi mzuri kwao baada ya kuwasilisha ...
WAYNE Rooney amesema mastaa wawili wa Liverpool, Virgil van Dijk na Mohamed Salah wanapaswa kupambana kwa nguvu zao kumsaidia ...
KLABU ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro, imetozwa faini ya jumla ya Sh20 milioni kwa kosa la kuanza msimu wa Ligi Kuu Bara ...
KATIKA Ligi Kuu Bara na Championship kuna mastaa wengi wanaotokea katika vituo vya kukuzia soka la vijana. Wapo wanaotamba ...
JULAI 3, 2025, uongozi wa Singida Black Stars ulimtambulisha rasmi aliyekuwa Kocha wa Yanga, Muargentina Miguel Gamondi, ...
Beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, amemshauri kiungo Kobbie Mainoo kuiga mfano wa mchezaji mwenzake Casemiro ...
KOCHA, Ange Postecoglou alifutwa kazi Nottingham Forest baada ya muda usiozidi dakika 20 tangu kikosi hicho kilipochapwa 3-0 ...
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza amesema wana kazi kubwa ya kufanya kukabiliana na Singida Black Stars ambayo ...
KWELI akutukanaye hakuchagulii tusi. Kuna gwiji mmoja wa Ligi Kuu England ameibuka na kudai straika Viktor Gyokeres yupo ...
Bingwa wa dunia wa mbio za marathoni, Peres Jepchirchir, anasema mapumziko ya miezi miwili kutokana na jeraha la mguu ...