Nchini DRC, lori la MSF lililobeba vifaa vya matibabu limeshambuliwa mnamo Februari 18, 2026, na watu wenye silaha. Shambulio ...
Taasisi ya CRDB Bank Foundation imetenga Sh. bilioni 2 kufanikisha miradi na biashara za wanachama wa Umoja wa Wanawake na Samia, vijana na wajasiriamali katika Jimbo la Mtumba mkoani Dodoma.
NI siku 162 za Paul Makonda kushika nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambazo alizitumia kufanya ziara kwenye mikoa mbalimbali nchini, kutoa matamko mazito na ...