Kundi la Hamas limewaachilia huru mateka sita kutoka Gaza na kuwakabidhi mateka hao wakiwa hai kwa Serikali ya Israel ikiwa ...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimesema licha ya manung'uniko lakini kipo tayari kwa uchaguzi mkuu, huku kikitaka kura ya mwananchi iheshimiwe.
Serikali na kampuni binafsi zimehimizwa kuweka nyaraka zao kwenye mifumo ya kompyuta badala ya kutumia makaratasi kwa kuwa ...
Dimpozi la kwenye shavu ni maarufu kwa kuleta tabasamu la kipekee na mvuto wa aina yake, dimpozi la kiunoni maarufu kama ‘dimples of venus’ ambazo wakati mwingine, huchukuliwa kama ishara ...
Maumivu ya kifua na kupumua kwa shida ni dalili zinazojulikana za mshtuko wa moyo, lakini ni muhimu pia kuwa makini na dalili ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wanaoshiriki ...
“Kama Mbwai na Iwe Mbwai”. Hii ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Taifa, Shaban Itutu kuelezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amesema dhamira ya Serikali kuanzisha hati fungani inayofuata misingi ya Kiislamu (Sukuk) ni kupata fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mikubwa ...
Familia ya Bibas kutoka Israeli imethibitisha kuwa mabaki ya Shiri Bibas yamerejeshwa na Hamas, siku moja baada ya kudai kuwa ...
Kama wewe ni mtumiaji wa iPhone na vifaa vingine vya kampuni ya Apple hili linakuhsu, unadhani serikali inapaswa kuwa na ...
Shule za msingi na sekondari za jijini Dar es Salaam zimejitokeza kuadhimisha Siku ya Skauti wa Kike (Girls Guide) huku ...
Wazazi na walezi nchini wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya hali ya msongo wa mawazo unaowakumba watoto wao ili kuwaepusha ...