Kutembea ukiwa umelala ama Sleepwalking ni hali ambayo mtu anaendelea kufanya shughuli kama anazofanya akiwa macho lakini akiwa usingizini . Hali hii pia huitwa somnambulism kwa lugha ya kitaalam .
Watoto wengi walio umri sawa na wake hulilia asikrimu, wengine hutumia muda wao kutazama katuni na wengine kucheza nje lakini kwa Susanna Adjakie Apekor kwake mambo ni tofauti. End of Iliyosomwa zaidi ...
Mjini Kigali waendesha boda boda wanafurahia hatua kubwa iliyopigwa kwa usafiri wa pikipiki ama boda boda, zinazotumia umeme kwa kusafirisha wateja. Kuhusu utumiaji wa betri za umeme, Nkomeje Eric ...
Pikipiki za bei nafuu nchini Uganda zimekuwa baraka na laana kwa mji mkuu wa Kampala. Zinatoa ajira kwa sehemu kubwa ya vijana wa taifa hilo, lakini pia zinatazamwa kama kero ya mjini katika mitaa ...
Wiki chache zilizopita, tulikuletea makala kuhusu pikipiki za umeme, na kupitia ukurasa wetu wa Facebook RFI KIswahili, tukawa na maswali mengi kuhusu pikipiki hizi. Katika makala haya tumemwalika, ...
Rwanda imetangaza leo Jumatatu kwamba itasitisha usajili wa pikipiki za abiria zinazotumia mafuta ya petroli kuanzia mwaka ujao ikinuwia kushajihisha matumizi ya vyombo vya moto vinavyotumia nishati ...