MKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Kailima Ramadhani amejitokeza kupiga kura kwenye Kituo cha Shule ya Msingi Chaduru, Halmashauri ya Jiji la Dodoma, mkoani Dodoma. Baada ...
MIKOANI: WAKUU wa mikoa mbalimbali wamejitokeza kushiriki upigaji kura katika mikoa yao kwa kuchagua viongozi wanaowataka katika uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani. Mkuu wa Mkoa Wa Kagera, Hajath F ...
IRINGA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Asas, leo amepiga kura katika kituo cha Chuo cha Afya ...
WANANCHI wa Tanzania leo wanapiga kura kuchagua viongozi watakaowaongoza kwa miaka mitano. Hivi karibuni Katibu Mkuu Kiongozi ...
DAR ES SALAAM; TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa maelekezo 11 ya kuzingatiwa katika vituo vya kupigia kura leo.
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Shirika la Open Heart International la ...
SERIKALI imetakiwa kulitupia jicho sekta ya mitindo nchini kwa kuipa kipaumbele na sapoti sawa na inavyofanya kwenye sekta ya ...
ARUSHA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Ngorongoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yanick Ndoinyo, ametoa wito kwa wananchi wa kata zote 28 za jimbo hilo kuhakikisha wanajitoa kwenda kupiga kura lengo n ...
ARUSHA: MJUMBE wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM),Namelok Sokoine ametoa somo la elimu ya jinsi ya kupiga kura kwa jamii ya kifugaji ya Kimasai katika Kata ya Engaranaibor Wi ...
DAR ES SALAAM: Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limejipanga kushiriki mashindano ya michezo ...
IRINGA: Kuelekea kesho, Oktoba 29 siku ya kupiga kura Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha rasmi kampeni zake Iringa Mjini ...